iPhone for Everyone

 

 

Kamata iphone/ ipad – lipa kidogo kidogo

Tunaelewa kuwa baadhi ya wateja wanapendelea kufurahia bidhaa leo na kulipia kidogo kidogo, Ili kuwahudumia wateja hawa vyema zaidi tumeanzisha mpango wa iPhone/ipad kwa Kila mtu ambao unamuwezesha mteja kulipa kwa muda wa miezi sita. Programu hii imeanzishwa kwa ushirikiano na Victoria Finance.

Faida za programu ni kwamba

  • Furahia iPhone yako leo kwa kulipa malipo ya chini ya takriban 15% ya gharama halisi ya iphone au ipad

  • Lipa kiasi kilichobaki kwa muda wa miezi sita ijayo kupitia agizo la kudumu (bank standing order)

  • Pata Amani ya moyoni na dhamana (warranty) ya miaka miwili inayokupa kinga ya uharibifu wa bahati mbaya

Unasubiri nini? Chagua iPhone au iPad yako sasa